Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kiwango cha maambukizi kimataifa kinapaswa kuwa kengele kwa serikali-WHO

Kiwango cha maambukizi kimataifa kinapaswa kuwa kengele kwa serikali-WHO

Pakua

Kiwango cha kimataifa cha maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STI) kinapaswa kuwa kengele ya kuziamasha serikali, wameonya leo wataalam wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya afya wakibainisha takwimu zinazoonyesha kwamba mtu mmoja kati ya 25 leo na moja ya maradhi ya zinaa yanayotibika ambayo hutokea katika kiwango cha maambukizi zaidi ya milioni moja kwa siku.

Audio Credit
Flora Nducha/ Grace Kaneiya
Sauti
3'10"
Photo Credit
© UNICEF/Jan Mun