04 Juni 2019

4 Juni 2019

Katika jariba la Habari la Umoja wa Mataifa hii Leo Assumpta Massoi anakuletea

-UNHCR yasaidia kuhamisha wakimbizi na wahamiaji 96 toka Somalia, Ethiopia na Eritrea wanaliokuwa wakishikiliwa Libya

-Kuelekea siku ya mazingira duniani nchi za Ulaya zimeaswa kutokupeleka dizeli chafu na yenye sumu Afrika

- FAO na wadau waungana kusimamia suala la ardhi za jamii Kenya

-Makala leo inatupeleka Kosovo kuangalia jinsi mahasimu walivyoshikanana na kufanyakazi pamoja kwa ajili yao na jamii zao

-Na mashinani tutasikia jinsi mbinu za asili zinavyosaidia katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Audio Credit:
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration:
12'8"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud