Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usafiri wa baiskeli una faida za kiafya isitoshe kimazingira wakazi Uganda wafunguka

Usafiri wa baiskeli una faida za kiafya isitoshe kimazingira wakazi Uganda wafunguka

Pakua

Mahitaji ya wasafiri ambao hutembea kwa miguu au kuendesha baiskeli, ambayo ni idadi kubwa ya watu yanapuuzwa na mataifa mengi licha ya kwamba faida za kuwekeza katika usafiri wa kundi hili zinaweza kuokoa maisha, kusaidia kulinda mazingira na kupunguza umaskini.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ John Kibego
Audio Duration
2'14"
Photo Credit
UNICEF/Tsvangirayi Mukwazhi