Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Najisikia vibaya kuwa mwenzangu aliyeniokoa alifariki duni- Koplo Omary

Najisikia vibaya kuwa mwenzangu aliyeniokoa alifariki duni- Koplo Omary

Pakua

Koplo Ali Khamis Omary ni mlinda amani mtanzania aliyeokolewa na mlinda amani marehemu Chau ncy Chitete kutoka Malawi ambapo akihojiwa na Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam hii leo ameeleza kusikitishwa na kifo cha mwenzake na anaanza kwa kueleza tukio lilivyotokea.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'5"
Photo Credit
MONUSCO/Anne Herrmann