Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto mkimbizi kutoka Burundi apata fursa ya kusoma ukimbizini

Mtoto mkimbizi kutoka Burundi apata fursa ya kusoma ukimbizini

Pakua

Nchini Kenya, mradi wa pamoja wa Muungano wa Ulaya na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF pamoja na shirikisho la makanisa ya kilutheri duniani, umesaidia kulinda wakimbizi watoto kwenye kambi ya Kakuma nchini Kenya baada ya kukimbia  madhila katika nchi zao. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
2'7"
Photo Credit
UNHCR/Catherine Wachiaya