Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni kwa nini watu hawaachi kutumia vitu ambavyo ni chachu ya mabadiliko ya tabianchi?

Ni kwa nini watu hawaachi kutumia vitu ambavyo ni chachu ya mabadiliko ya tabianchi?

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye bado yuko ziarani nchini Fiji leo amekuwa na shughuli mbalimbali ikiwemo kuhutubia bunge la nchi hiyo, kuwa na mkutano wa pamoja na Waziri mkuu pamoja na kuzungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha South Pacific mjini Suva.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'2"
Photo Credit
UN Photo/Mark Garten)