16-05-2019

16 Mei 2019

Jaridani Mei 16 na Arnold Kayanda pata habari ikiwemo:

-Mtoto 1 kati ya 7 duniani kote huzaliwa na uzito mdogo kupindukia- Ripoti

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye bado yuko ziarani nchini Fiji leo amekuwa na shughuli mbalimbali ikiwemo kuhutubia bunge la nchi hiyo, kuwa na mkutano wa pamoja na Waziri mkuu pamoja na kuzungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha South Pacific mjini Suva.

-Kama hakuna fursa ya kufanya utakacho, jitengenezee fursa hiyo:mkimbizi Sadaf

Makala tunaelekea nchini Uganda na ukuaji wa miji

Na mashinani tunakwenda Kigoma nchini Tanzania kuangazia jinsi mradi wa pamoja wa kuendeleza mkoa wa Kigoma, ukitekelezwa kwa pamoja na mashirika ya Umoja wa Mataifa umeleta faida.

 

Audio Credit:
Arnold Kayanda
Audio Duration:
12'7"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud