Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

15 Mei 2019

15 Mei 2019

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo assumpta Massoi anakuletea

-Mkutano wa sayansi na wabobevu wa ubunifu umekunja jamvi New york hii leo Dkt. Agness Kijazi kutoka Tanzania ni miongoni mwa washiriki utamsikia

-Leo ni siku ya familia duniani na UN yachagiza uelewa na kushughulikia changamoto za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo zinazoathiri familia

-Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR limesema saanaa huenda ikategua kitendawili cha zahma ya wakimbizi duniani

-Makala yetu leo ni vijana na ubunifu tutakuwa Kenya kwa kijana aliyebuni mashine ya kuchapisha ya kisasa inayotumia mtindo wa 3D

-Mashinani tutakuwa Msumbiji kwa manusura wa kimbunga Kenneth akizungumzia hali ya sasa

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
12'23"