Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nyumbani ni nyumbani wasema wasyria walioanza kurejea

Nyumbani ni nyumbani wasema wasyria walioanza kurejea

Pakua

Nchini Syria baadhi ya wananchi waliokimbia makazi yao kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka nane sasa, wameanza kurejea kwenye mapagala yao ingawa kazi ya  ujenzi mpya inasalia kuwa na changamoto kubwa.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
1'51"
Photo Credit
UNICEF/UN0277723/Souleiman