Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuna mambo manne ya kuzingatia katika vita vya mabadiliko ya tabianchi:Guterres

Kuna mambo manne ya kuzingatia katika vita vya mabadiliko ya tabianchi:Guterres

Pakua

Vijana nchini New Zealand wamepongezwa na Umoja wa Mataifa kwa kazi nzuri na mchango wao mkubwa katika vita dhidi ya mabadiliko ya tabianchi , huku wakiaswa kuongeza juhudi na kuwa wabunifu Zaidi kwa kusaka suluhu mbadala kwa ajili ya changamoto hii inayoighubika duniani.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Sauti
1'58"
Photo Credit
UN Photo/Mark Garten)