Badala ya kutupwa taka za plastiki zageuka thamani Burkina Faso
Pakua
Nchini Burkina Faso, wakazi wa eneo la Kougougou lilioko kwenye viunga vya mji mkuu Ouagadougou , wamebuni mbinu mpya ya kubadili taka za plastiki kuwa bidhaa adhimu kama vile mavazi au pochi.
Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
1'59"