Ajali za barabarani zinakatili maisha ya wazi zaidi ya milioni 1.3 kila mwaka :WHO

Ajali za barabarani zinakatili maisha ya wazi zaidi ya milioni 1.3 kila mwaka :WHO

Pakua

Wiki ya usalama barabarani ikianza kote duniani, shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa wito kwa kila mmoja kuchukua hatua ili kuokoa maisha yanatokanayo na ajali hizo ambazo kila mwaka hukatili maisha ya watu milioni 1.35 wengi wakiwa ni watoto na vijana hususan barani Afrika.

Audio Credit
UN News/Patrick Newman
Sauti
2'47"
Photo Credit
UN News/Vibhu Mishra