Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN Yawaenzi wafanyakazi wake waliopoteza maisha wakihudumu

UN Yawaenzi wafanyakazi wake waliopoteza maisha wakihudumu

Pakua

Umoja wa Mataifa leo umefanya tukio maalum la kuwaenzi wafanyakazi wake waliopoteza maisha mwaka jana wakihudumu katika sehemu mbalimbali kusongesha mbele ajenda ya Umoja huo ulinza mwalka 1945.

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
2'
Photo Credit
UN Photo/Kim Haughton