Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yasitisha shughuli za kusambaza mlo huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mlipuko w amagonjwa Afrika Mashariki

WFP yasitisha shughuli za kusambaza mlo huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mlipuko w amagonjwa Afrika Mashariki

Pakua

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limesitisha kwa muda usambazaji katika nchi 25 wa nafaka iliyorutubishwa au Super Cereal wakati huu ambapo uchunguzi unaendelea kubaini iwapo chakula hicho kina uhusiano na mlipuko wa magonjwa Afrika Mashariki.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Patrick Newman
Audio Duration
1'34"
Photo Credit
WFP/Photolibrary