Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Amkani si shuari kufuatia mapigano mapya Kivu Kaskazini

Amkani si shuari kufuatia mapigano mapya Kivu Kaskazini

Pakua

Hali ya kutokuwepo na usalama na machafuko mapya katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imelazimisha watu zaidi ya Laki Moja kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao mwezi Aprili kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
2'17"
Photo Credit
© UNHCR/Ley Uwera