Vifo vya wahamiaji rumbande Yemen vyatutia hofu:IOM 2 Mei 2019 Habari kwa Ujumla Pakua Wahamiaji takriban wanane kutoka nchini Ethiopia wameripotiwa kufariki dunia nchini Yemen ambako walikuwa wanashikiliwa mahabusu kwenye vituo maalum, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM. Audio Credit UN News/Patrick Newman Audio Duration 1'20" Photo Credit Kristy Siegfried/IRIN IOM Ethiopia wahamiaji vifo