Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Raia wa Mali waanza kurejea nyumba kujenga upya maisha yao

Raia wa Mali waanza kurejea nyumba kujenga upya maisha yao

Pakua

Nchini Mali, licha ya ukosefu wa amani ya kudumu kwenye mji wa kaskazini wa Gao, baadhi ya wananchi waliokimbia eneo hilo wameanza kurejea ili kusaidia ujenzi mpya na uponyaji kwa wale walioathiriwa na mzozo. 

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
1'22"
Photo Credit
Harandane Dicko