Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua zahitajika kuepusha zahma ya ukame Somalia:UN

Hatua zahitajika kuepusha zahma ya ukame Somalia:UN

Pakua

Umoja wa Mataifa umeonya kuwa hali ngumu itokanayo na ukame nchini Somalia inaweza kusababisha janga la kibinadamu iwapo hatua za dharura hazitachukuliwa kudhibiti hali hiyo.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'9"
Photo Credit
UNICEF/Mukwazhi