Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chonde chonde saidieni wanawake wanaobakwa na msisahau watoto wao wasio na utaifa- Dkt. Mukwege

Chonde chonde saidieni wanawake wanaobakwa na msisahau watoto wao wasio na utaifa- Dkt. Mukwege

Pakua

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo lina mjadala wa wazi kuhusu ukatili wa ngono kwenye mizozo ikiwa ni miaka 10 tangu kupitishwa kwa azimio namba 1888 lililoanzisha mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu kuhusu vitendo hivyo. Miongopni mwa wazungumzaji ni Dkt. Denis Mukwege mshindi wa tuzi ya amani ya Nobel ametoa wito wa wanawake na watoto waathirika wa ubakaji katika mizozo kusaidiwa.

Audio Credit
Dkt. Denis Mukwege
Audio Duration
2'
Photo Credit
UN/Eskinder Debebe