Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanaume Uganda wafunguka kuwezesha wake zao.

Wanaume Uganda wafunguka kuwezesha wake zao.

Pakua

Kuna msemo ukiwezesha mwanamke unawezesha jamii, ingawa mzigo huo wa kumwezesha mwanamke mara nyingi umekuwa hautiliwi maanani na wananaume hususan katika kuwawezesha wake zao.


Lakini hali ni tofauti kwa Anthony Kiiza wa mjini Hoima ambaye amewezesha mkewe kwa kutumia ufadhili chini ya mradi wa serikali wa kuwezesha vijana wa Youths Livelyhood Programme.

Je, kuna manufaa ya mwanamume kushirikisha mkewe katika mipango ya maendeleo? Ungana na John Kibego katika Makala ifuatayo.

 

Audio Credit
Arnold Kayanda/John Kibego
Audio Duration
3'23"
Photo Credit
World Bank/Arne Hoel