28 Machi 2019

28 Machi 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa leo Patrick Newman anakuletea 

-Wito umetolewa na Umoja wa Mataifa wa dunia kushikamana kuchukua hatua za haraka dhidi ya mabadiliko ya tabianchi la sivyo mustakbali uko mashakani

-Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaendelea Mali kwenye machafuko ya kikabila na Umoja wa Mataifa wataka yakomeshwe haraka kabla zahma haijawa kubwa zaidi

-Kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya kinyesi cha binadamu sasa chawa mali, kulikoni?

-Katika makala kituo cha msaada wa kisheria cha nchini Tanzania  WILAC chawa neema kwa wakimbizi 

-Na mashinani tunakuletea maoni yako kuhusu athari za kimbunga IDAI Kusini mwa Afrika

Audio Credit:
UN News/Patrick Newman
Audio Duration:
11'39"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud