Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yatoa elimu ya kujikinga na Ebola mashuleni DRC

WHO yatoa elimu ya kujikinga na Ebola mashuleni DRC

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni , WHO limeamua kutoa elimu ya kujikinga na maambuzi ya Ebola kwa watoto mashuleni lengo likiwa kuelimisha kadri iwezekanavyo kuakabili ugonjwa huo.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
1'38"
Photo Credit
© UNICEF/UN0233181/Herrmann