Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kushinikiza wanawake masuala ya afya ya uzazi ni ukiukwahi wa haki:UN

Kushinikiza wanawake masuala ya afya ya uzazi ni ukiukwahi wa haki:UN

Pakua

Kakati ya umoja wa Mataifa ya haki za kijamii, kiuchumi na kitamaduni leo imetoa maamuzi kwamba Italia imekiuka haki za binadamu baada ya sheria za nchi hiyo kumshinikiza mwanamke mmoja kupandikizwa kiini tete ambacho hakikudumu na wameitaka imlipe fidia na kubadili sheria.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
3'24"
Photo Credit
Delegation of the European Union to Brazil