Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Waathirika vibaya mgogoro wa Mali ni watoto:UNICEF

Waathirika vibaya mgogoro wa Mali ni watoto:UNICEF

Pakua

Machafuko yanayoendelea nchini Mali yanakatili maisha ya watoto wengi , kuwaathiri kisaikolojia na kuweka njia panda mustakabali wao limeonya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, likisema watoto hao ndio wanaobeba gharama kubwa ya machafuko.

Audio Duration
2'23"
Photo Credit
MINUSMA/Gema Cortes