25 Machi 2019

25 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Patrick Newman anakuletea

-Hatua zisipochukuliwa haraka waathirika wa kimbunga IDAI hatarini kupata milipuko ya magonjwa yaonya mashirika ya kimataifa

-Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema magonjwa takriban 20 ya kitropiki yaliyosahaulika yaiathiri Sudan Kusini

-Na Jukwaa la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania UNA, limepata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa miaka mitatu iliyopita

-Makala leo tuko Kenya kuangalia juhudi za serikali kupiga marufuku matumizi ya plastiki katika kulinda mazingira

-Mashinani tunabisha hodi Tanzania kwa wakfu wa Benjamini Mkapa kumika miradi ya taasisi hiyo

Audio Credit:
UN News/Patrick Newman
Audio Duration:
12'8"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud