19 Machi 2019

19 Machi 2019

WFP yasema zahma ya mafuriko Msumbiji inaongezeka kwa saa. WFP na serikali wachunguza madai ya kutiwa sumu katika chakula cha WFP Uganda. Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake kikao cha 63 ukiendelea mjini New York, Marekani,  Dorcus Parit, mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo kinachowahifadhi wasichana walioko hatarini ya ndoa za utotoni na ukeketaji kaunti ya Kajiado nchini Kenya asema wanawake kutokuwa na sauti kunachochea ndoa za utotoni na ukeketaji Kajiado, Kenya. 

Audio Credit:
Grace Kaneiya
Audio Duration:
11'58"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud