Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Rasilimali za Palestina hazipaswi kuchukuliwa wala kuharibiwa na Israel:Lynk

Rasilimali za Palestina hazipaswi kuchukuliwa wala kuharibiwa na Israel:Lynk

Pakua

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika eneo linalokaliwa la Palestina Michael Lynk amesema rasilimali za Wapalestina hazipaswi kuchukuliwa wala kuharibiwa na Israel kwani huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'46"
Photo Credit
WFP/Wissam Nassar