Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

13 Machi 2019

13 Machi 2019

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Unyafunzi waendelea kuweka maisha ya watoto njia panda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, 260,000 waathirika eneo la Kasai

-Kenya imesema imeweka mikakati kabambe kuhakikisha inamkwamua mwanamke kiuchumi na kijamii

-Nchini Sudan Kusini wito umetolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kuhakikisha watoto wenye ulemavu wajumuishwe katika elimu

- Katika makala leo tunakutana na kijana mleta mabadiliko katika jamii  Thobias Komba kutoka Tanzania ambaye anashiriki kwenye mkutano wa 63 wa Kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW

-Mashinani tunabisha hodi kaunti ya Kisii nchini Kenya kuangalia nafasi ya mwanamke katika uongozi

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
9'58"