Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Lazima tukaze mkanda asilimia 7 tu ya wanawake ndioi viongozi wa nchi:UN

Lazima tukaze mkanda asilimia 7 tu ya wanawake ndioi viongozi wa nchi:UN

Pakua

Usawa wa kijinsia bado ni changamoto kubwa duniani na ni jukumu la kila mtu kuhakikisha wanawake wanapata fursa na usawa unaostahili kwa vitendo amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wakati wa ufunguzi wa kikao cha 63 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani kilichoanza leo.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Flora Nducha
Audio Duration
2'4"
Photo Credit
UN Photo/Evan Schneider