Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Unapoengua nusu ya idadi ya watu duniani kwenye maendeleo, katu hutosonga mbele- UN

Unapoengua nusu ya idadi ya watu duniani kwenye maendeleo, katu hutosonga mbele- UN

Pakua

Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo kila mwaka huwa Mach inane wito umetolewa kuhakikisha uwezeshaji wanawake na usawa jinsia vitu ambavyo ni muhimu kwa maendeleo ya dunia. Wito huo umetolewa na viongozi mbalimbali wanawake kwenye Umoja wa Mataifa lakini pia Katibu Mkuu Antonio Guterres. Kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa ni “fikra sawa, jenga kwa ufanisi na kuwa mbunifu kwa mabadiliko.  Flora Nducha na taarifa kamili.

Audio Credit
Arnold Kayanda/Flora Nducha
Audio Duration
3'
Photo Credit
UN Photo/Isaac Billy