Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Pengo la usawa wa kijinsi kwenye ajira bado halijazibwa-ILO

Pengo la usawa wa kijinsi kwenye ajira bado halijazibwa-ILO

Pakua

Hatua katika kuziba pengo la usawa wa kijinsia zimekwama, na katika baadhi ya sehemu zinarudi nyuma, imesema ripoti ya shirika la kazi ulimwenguni, ILO kuhusu mtazamo wa wanawake kwenye sekta ya ajira ya mwaka 2018, ripoti ambayo imetolewa leo Alhamisi.

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Assumpta Massoi
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
World Bank/Victor Neagu