28 Februari 2019

28 Februari 2019

Ripoti ya tume huru ya Umoja wa Mataifa yaonesha kulikuwa na ukikukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa kudhibiti maandamano ya wapalestina katika eneo linalokaliwa la Palestina.  Mahakama ya kuhamahama yapeleka haki Malakal, Sudan Kusini. Ujira mdogo katika sekta ya uvuvi ni mtihani kwa wafanyakazi na familia zao amesema Mtaalam.

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
13'4"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud