26 Februari 2019

26 Februari 2019

Umoja wa Mataifa wasema, Dola bilioni 2.6 zimeahidiwa kuinusuru Yemen. Wahisani fungueni zaidi mikoba yenu mnusuru Ebola DRC  anatoa wito Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya ulimwenguni, WHO, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus na  gereza lililojengwa mjini Mogadishu nchini Somalia kwa ubia kati ya Umoja wa Mataifa na wadau wake lazimduliwa.

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
12'21"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud