WFP inasema bila fedha mamilioni ya walio na njaa Yemen watakuwa njia panda. Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa nchi za Maziwa Makuu Said Djinnit amesema utashi wa kisiasa wahitajika kuleta utulivu wa kudumu Maziwa Makuu na Umoja wa Mataifa wasema bila ushirikiano wa kimataifa haki za binadamu itakuwa ndoto.