Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukiwekeza kwa vijana wakimbizi unawekeza kwa amani na utulivu:Balozi Affey

Ukiwekeza kwa vijana wakimbizi unawekeza kwa amani na utulivu:Balozi Affey

Pakua

Mwkilishi maalumu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwa ajili ya Pembe ya Afrika balozi Mohamed Affey amesema ni muhimu sana kuwekeza kwa vijana wakimbizi walioko makambini nchini Kenya , kwani uwekezaji huo utaleta nuru kwa mustakbali wa amani na utulivu katika kanda nzima.

Audio Credit
UN News/Amina Hassan
Audio Duration
1'50"
Photo Credit
UN/Esperanza Tabisha