22 Februari 2019

22 Februari 2019

Leo Ijumaa tuna mada kwa kina ikimulika harakati za kufanikisha afya hususan kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu huko mkoani Ruvuma nchini Tanzania mwenyeji wako akiwa John Kabambala wa radio washirika Kids Time FM. Tunakuletea pia habari kwa ufupi tukimulika umuhimu wa bayonuai katika uzalishaji wa chakula, harakati za kukabiliana na Ebola huko DRC na pia sauti iliyopazwa na ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa kuhusu unyongaji wa watu huko Misri. Mwenyeji wako jaridani leo ni Flora Nducha.

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
9'59"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud