21 Februari 2019

21 Februari 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Siku ya kimataifa ya lugha ya mama , Bangladesh inafanya kila liwezekanalo kulinda lugha hizo

-Mtangazaji wa lugha ya mama kutoka Kenya aelezea umuhimu wa siku hii na kuezi lugha ya mama wakati umoja wa Mataifa ukisema mamia ya lugha hatarini kutoweka

-Balozi mwema wa MONUSCO, ambaye ni mwanamuziki nyota kutoka DRC , Fally Ipupa ayaasa makundi ya wapiganaji DRC, kuacha kuingiza watoto jeshini 

-Mashinani Assumpta Massoi amerambaza  ukurasa wetu wa Facebook na kukusanya maoni yenu kuhusu lugha ya mama

-Makala leo tuko nchini Uganda tukijadili lugha ya Watyaba ambayo iko katika hatihati ya kutoweka

Audio Credit:
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration:
11'15"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud