20 Februari 2019

20 Februari 2019

Ripoti ya Umoja wa Mataifa yasisitiza kuwa vita na ukwepaji sheria lazima vikome Sudan Kusini. Pia baadhi ya wakimbizi wa ndani wameanza kunufaika na mkataba wa amani wanasema kutokana na mkataba wa amani, angalau hali ya usalama imetengamaa. Gavana wa Nairobi Mike Sonko aeleza namna walivyojizatiti kuurekebisha mji mkuu wa Kenya, Nairobi ili uwe mji wa kisasa na endelevu.

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
13'34"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud