19 Februari 2019

19 Februari 2019

UNHCR inasema mahitaji ya kuwatafutia wakimbizi nchi ya tatu yalifikiwa kwa chini ya asimilia 5 tu duniani kote. Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet amesihi pande kinzani kwenye mzozo nchini Syria ziheshimu sheria za kimataifa pindi zinapoendesha operesheni zao za kijeshi. Basi la aina yake latoa fursa kwa watoto kuwa watoto mjini Beirut, nchini Lebanon.

Audio Credit:
Grace Kaneiya
Audio Duration:
11'17"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud