18 Februari 2019

18 Februari 2019

Wakimbizi wanaovuka mpakani mwa DRC na Sudan Kusini waleta hofu ya Ebola inasema UNMISS.  Zebaki kusalia historia kwenye uchimbaji dhahabu. UNICEF inasema mkataba wa amani CAR waleta matumaini kwa mamilioni ya watoto.

Audio Credit:
Grace Kaneiya
Audio Duration:
12'32"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud