Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chanjo inaweza kunusuru wengi na saratani ya shingo ya uzazi:WHO

Chanjo inaweza kunusuru wengi na saratani ya shingo ya uzazi:WHO

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni WHO linahamasisha watu kupima afya zao, kupewa elimu ya kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani na kupatiwa chanjo ikiwemo ya saratani ya shingo ya uzazi ambayo inaweza kuepukwa. .

Audio Credit
UN/News Grace Kaneiya
Audio Duration
2'47"
Photo Credit
IAEA