Ghasia zikisababisha vifo Sudan, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ataka serikali kuchukua hatua. Mradi wa UNIDO waleta nuru kwa wakulima wa ndizi Uganda na huko Kaskazini mwa Iraq, daktari wa kike kutoka jamii ya Yazidi anajitolea maisha yake kuwasaidia wanawake ambao walikuwa chini ya himaya ya kundi la ISIL.