Skip to main content

Sada Nahimana mfano dhahiri wa manufaa ya michezo

Sada Nahimana mfano dhahiri wa manufaa ya michezo

Pakua

Michezo kwa amani na maendeleo ni kaulimbiu ambayo iko bayana katika malengo ya maendeleo endelevu ikimaanisha kuwa michezo inasaidia siyo tu kuongeza kipato bali pia kuleta utangamano kwa jamii na pia kuboresha maisha ya watu. Hii imedhihirika hasa kwa vijana hususan nchini Burundi.

Na mfano dhahiri ni wa manufaa hayo ni kwa msichana Sada Nahimana ambaye amejijengea  sifa tele nchini Burundi kwa kuwa mwanatenisi  wa kwanza Afrika ya Mashariki anayecheza mashindano makubwa ya Grand Slam kwa vijana na tayari ametunukiwa tuzo ya kijana bora wa taifa inayotolewa na rais wa nchi hiyo. Kutoka Bujumbura, Mwandishi wetu Ramadhani KIBUGA ametuandalia Makala hii.

Audio Credit
Arnold Kayanda/Ramadhan Kibuga
Audio Duration
3'52"
Photo Credit
Special Olympics