ICC yawaachia huru Gbagbo na Blé Goudé . Wakimbizi wa Burundi waendelea kurejea nyumbani. Nilivutiwa kuwa daktari kwa kuzingatia mahitaji ya wasomali na changamoto katika sekta ya afya na namna ambavyo watu walikuwa wakiteseka na upungufu wa wataalam wa afya, anasema Abdulkadir Farah Mohamud al maarufu Dkt. Hajji mkazi wa wilaya ya Hodan kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.