09 January 2019

9 Januari 2019

Mvua yaleta tabu zaidi kwa wakimbizi wa Syria nchini Lebanon. Taasisi ya kimataifa inayoshughulikia masuala yaliyosalia ya makosa ya jinai MICT yashukuru Tanzania kwa mafanikio iliyoyapata. Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix yupo ziarani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR kwa lengo za kuzindua tena mashauriano kati ya serikali na vikundi vilivyojihami.

Audio Credit:
Grace Kaneiya
Audio Duration:
12'3"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud