Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Onyesha mshikamano na wakimbizi kwa kutembea kilometa bilioni 2

Onyesha mshikamano na wakimbizi kwa kutembea kilometa bilioni 2

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetangaza leo kuanza kwa kampeni ya kimataifa ya watu kutembea na kufikisha umbali wa kilometa bilioni 2 ambazo wakimbizi hulazimika kutembea kila mwaka. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Arnold Kayanda
Sauti
1'56"
Photo Credit
UNFPA Bangladesh/Naymuzzaman Prince