26-12-2018

26 Disemba 2018

Jaridani hii leo tunamulika harakati za watu wa jamii ya asili nchini Peru kulinda msitu wa Amazon kwa kuwa ndio tegemeo lao. Tunakwenda Somalia kwa mmliki duka mwanamke ambaye ameajiri vijana na kusaidia kusongesha maisha. Huko Austria nako wakimbizi wapata fursa ya kuendeleza maisha yao na makala tunakutana na kijana kutoka shirika la kiraia la Restless Development nchini Tanzania. Mashinani nako mradi wa kuzalisha umeme kwa nguvu za maji umeleta mabadiliko mkoani Morogoro  nchini Tanzania. Karibu na mwenyeji wako ni Siraj Kalyango.

Audio Credit:
Siraj Kalyango
Audio Duration:
12'47"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud