20 Disemba
Pakua
Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa leo , Grace Kaneiya anakuletea
-Uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC waahirishwa kwa wiki moja zaidi, huku mkuu wa mahakama ya ICC akionya uhalifu dhidi ya ubinadamu kuwajibishwa
-FAO yawainua wakulima wadogowadogo nchini Tanzania kwa kuwapatia stadi za kilimo
-Msichana mkimbizi kutoka kambi ya Dadaab nchini Kenya aoongoza kwa alama za juu katika kuhitimu elimu ya msingi
-Makala leo inamulika afya kwa wote nchini Burundi
-Mashinani utawasikia wasichana kutoka shule ya Tandale jijini Dar es salaam wakieleza changamoto zinazowakabili watoto wa kike.
Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
13'12"