07 Desemba 2018

7 Disemba 2018

Ajali za barabarani zaendelea kuwa mwiba kwa maendeleo ya binadamu, ingawa baadhi ya nchi zimechukua hatua. Huko Uganda harakati zinaendelea mashinani ili kuepusha  mauaji ya kimbari, John Kibego amezungumza na mtendaji wa BUKITAREPA .Tunaangazia pia harakati za wanawake katika kuandaa tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa linalotimiza miaka 70 tarehe 10 mwezi  huu wa Desemba. Makala ni Ibara ya 27 ya tamko hilo  hilo, je inasema nini? mchambuzi ni Dkt. Elifuraha Laltaika kutoka Tanzania na neno la wiki ufafanuzi unatolewa na Ken Walibora kutoka Kenya. Karibu na mwenyeji wako ni Arnold Kayanda

Audio Credit:
Arnold Kayanda
Audio Duration:
11'4"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud