Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

29 Novemba 2018

29 Novemba 2018

Pakua

Leo katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Arnold Kayanda anakuletea

-Hatari ya VVU kwa vijana barubaru ifikapo 2030, barubaru 80 watapoteza maisha kila siku kama mwenendo hautobadilika limeonya shirika la UNICEF

-Umuhimu wa ushirika wa Kusini-Kusini kwa bara la Afrika ni mkubwa

-UNMISS kuongeza vikosi jimbo la Nile Sudan Kusini kwa ajili ya ulinzi wa raia

-Makala inamulika Ibara ya 21 ya tamko la haki za binadamu kuhusu "haki ya wananchi kushiriki katika serikali , huduma za jamii na uongozi kuzingatia matakwa ya wananchi".

-Mashinani ni tahadhari kwa wazazi katika jitihada za  kukomesha unyanyasaji wa kingono kwa watoto Tanzania kutoka kwa Ummy Mwalimu, Waziri wa  afya,maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
14'4"